princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
umepata mtu?
kwahiyo kazi siku moja tu
usafi na kufua?
kwahiyo kazi siku moja tu
usafi na kufua?
Da! miss...umekamata fursa,hiyo elfu kumi yako sijaelewa...ni pm nikupe mtu wa uhakika kaka utampa tu elfu kumi na mimi elfu kumi
Njaaa zitakuuuani pm nikupe mtu wa uhakika kaka utampa tu elfu kumi na mimi elfu kumi
Khaaa ss si ungeniambia tu nije jmnNatafuta msaidizi wa kazi za ndani, usafi wa nyumba na kufua. Atakuwa anafanyakazi siku moja tu, jumapili malipo 20,000/- kila siku atakayofanya kazi.
Naishi mwenyewe hivyo asitegemee kufanya kazi nyingi sana.
Ningependelea msichana 18-25. Anaehitaji hio kazi ani PM kwa maelezo zaidi.
NB: Mimi sio mbabaishaji kwahio naomba wababaishaji wasinipotezee muda. Ukikubaliana na mimi utakuja kufanya hii kazi ujue kuna mwingine namwambia nimeshapata hivyo usiwe kigeugeu tunapotezeana muda.
Bado. Humu utani mwingi ngoja nitafute mtaani. Ingekuwa full time ningeagiza kijijini. Ila sihitaji full time worker.
Wewe ni wale wale!mwenzako yuko serious unaleta utani!!Kwan pale matumbi unakaaga kodi unalipajeIla nimechelewa kuona tangazo
Natafuta msaidizi wa kazi za ndani, usafi wa nyumba na kufua. Atakuwa anafanyakazi siku moja tu, jumapili malipo 20,000/- kila siku atakayofanya kazi.
Naishi mwenyewe hivyo asitegemee kufanya kazi nyingi sana.
Ningependelea msichana 18-25. Anaehitaji hio kazi ani PM kwa maelezo zaidi.
NB: Mimi sio mbabaishaji kwahio naomba wababaishaji wasinipotezee muda. Ukikubaliana na mimi utakuja kufanya hii kazi ujue kuna mwingine namwambia nimeshapata hivyo usiwe kigeugeu tunapotezeana muda.
Uende???Chura ipo?unaishi wapi nije ?
nishampatia jamaa mdada kama na wewe unataka semaUende???Chura ipo?
Hao wadada wana chura??nishampatia jamaa mdada kama na wewe unataka sema
hapana hawana mvuto wowote hapa kazi tuHao wadada wana chura??
Hao hawafai,binti ambae siku anakuja kufanya usafi nyumbani inabidi nikimbie nyumba huyo ni wa nini??hapana hawana mvuto wowote hapa kazi tu
hyo ni wa kufanya usafiHao hawafai,binti ambae siku anakuja kufanya usafi nyumbani inabidi nikimbie nyumba huyo ni wa nini??
Ulichelewa wapi kuona huu uzi? Yule carrier woman yuko busy sana, sasa ngoja siku moja aje amkute binti ana chura ya ukweli kainama anapiga deki akili itamkaa sawa!Yule wa JF uliekuwa unaishi nae umetoa talaka mkuu??![emoji23] [emoji23] [emoji23]
hana chura yoyote tena akimkuta atacheka sana atamuongeza na mshaharaUlichelewa wapi kuona huu uzi? Yule carrier woman yuko busy sana, sasa ngoja siku moja aje amkute binti ana chura ya ukweli kainama anapiga deki akili itamkaa sawa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulichelewa wapi kuona huu uzi? Yule carrier woman yuko busy sana, sasa ngoja siku moja aje amkute binti ana chura ya ukweli kainama anapiga deki akili itamkaa sawa!
Kama bado nicheki kwa number hii nikuunganishe na huyu Dada 0715169193Bado sijapata, niunganishe.