Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Ila ushauri wangu kama ni jpili tu mpate mwenye miaka kuanzia 27 au mwenye mtotoila wengine utaliaHuyu atafanyakazi jumapili tu nikiwepo.
Ila ushauri wangu kama ni jpili tu mpate mwenye miaka kuanzia 27 au mwenye mtotoila wengine utaliaHuyu atafanyakazi jumapili tu nikiwepo.
Natafuta msaidizi wa kazi za ndani, usafi wa nyumba na kufua. Atakuwa anafanyakazi siku moja tu, jumapili malipo 20,000/- kila siku atakayofanya kazi.
Naishi mwenyewe hivyo asitegemee kufanya kazi nyingi sana.
Ningependelea msichana 18-25. Anaehitaji hio kazi ani PM kwa maelezo zaidi.
Amina kaka kila lakheri.Nimepata mkuu. Nawashukuru wana Jf wote.
Dah nimekosa tendaNatafuta msaidizi wa kazi za ndani, usafi wa nyumba na kufua. Atakuwa anafanyakazi siku moja tu, jumapili malipo 20,000/- kila siku atakayofanya kazi.
Naishi mwenyewe hivyo asitegemee kufanya kazi nyingi sana.
Ningependelea msichana 18-25. Anaehitaji hio kazi ani PM kwa maelezo zaidi.
Mh..!mi nahitaji nilishaku pm mkuu...
natanguliza shukrani
Wapo watu wanaifanya mbona. Mm wapo naowajua tangu mwaka 2014 wanafanya hayo kupitia kampuni. Na kuna nyingine ya kwao ni maid wazungumza yaiHii fursa ya wafanyakazi wa ndani haijashtukiwa vzr, na walioishtukia hawaifanyi ipasavyo
Kama kuna mjasiriamali akajitokeza kuwakusanya na kuwatrain hawa wadada atapiga hela sana
Mh..!
Wajameno!
Yaani mpaka dadangu "haveni oni hethi"![emoji12] [emoji12] [emoji12]