Natafuta msaidizi wa kazi za ndani

Natafuta msaidizi wa kazi za ndani

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
59,845
Reaction score
137,084
Natafuta msaidizi wa kazi za ndani, usafi wa nyumba na kufua. Atakuwa anafanyakazi siku moja tu, jumapili malipo 20,000/- kila siku atakayofanya kazi.

Naishi mwenyewe hivyo asitegemee kufanya kazi nyingi sana.

Ningependelea msichana 18-25. Anaehitaji hio kazi ani PM kwa maelezo zaidi.

NB: Mimi sio mbabaishaji kwahio naomba wababaishaji wasinipotezee muda. Ukikubaliana na mimi utakuja kufanya hii kazi ujue kuna mwingine namwambia nimeshapata hivyo usiwe kigeugeu tunapotezeana muda.
 
Mkuu Hushapata? Nilihitaji nikuunganishe na Dada mmoja. Ni mchapa kazi sana
 
Tabu yote hiyo ya nini si Uoe msaidiane majukumu ya kazi au mpaka uwe senior bachelor
 
ni pm nikupe mtu wa uhakika kaka utampa tu elfu kumi na mimi elfu kumi
 
Miss wewe nisubiri lile jukwaa pendwa. Hapa nipo serious natafuta msaidizi.
nipo serias kuna mmalawi huwa anatufanyia kazi jpili hana sehemu.kuna mdada mwingine ni mjamzito nina kampuni tunaandikishana kabisa
 
Back
Top Bottom