Natafuta msaada wa kubebwa mabibo hostels.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Kwa msamaria mwema yeyote{wakiume} aliyeko mabibo hostels atakaeguswa na tangazo langu,bac naomba anipe huo msaada na mungu atamzidishia ktk maisha yake.asanteni
 
We ni mlemavu?kwa nini wa kiume tu?kukubeba kutoka wapi kwenda wapi?maswali maswali maswali
 
Ni ujinga tu, haiingii akilini kuweka tangazo hili humu JF. Kwa nini usiombe PR akuwekee kwenye mbao za matangazo pale UDSM? Kwa nini usisambaze matangazo hapo Mabibo?
 
mkuuuu kuna nyumba ipo msewe inapangiswa ni karibu na chuo maji umeme vyote vipo ni dakika 10 mpaka chuo njia unatokea kwa mamalishe pale fpa kodi ni buku 50 kwa mwezi
 
Kwa msamaria mwema yeyote{wakiume} aliyeko mabibo hostels atakaeguswa na tangazo langu,bac naomba anipe huo msaada na mungu atamzidishia ktk maisha yake.asanteni

Maelezo yako kama ya Mulugo, hayajitoshelezi! Kubebwa ki vipi? Mgongoni, kupewa sehemu ya malazi, kubebwa ki masomo, wewe ni mlemavu na kwa nini awe mwanaume wewe ni jinsia gani? Funguka zaidi ili usomeke.
 
aiseeeee babaangu 2meshafahamu unasoma udsm umeshindwa nini kubandika tangazo pale yombo 1 2 3 4 5 au pale au pale cafteria na pale kariakoo hall 2 na 5 kama ujapata nenda kabandike kwa mkandala utawala
 
Kwa msamaria mwema yeyote{wakiume} aliyeko mabibo hostels atakaeguswa na tangazo langu,bac naomba anipe huo msaada na mungu atamzidishia ktk maisha yake.asanteni

..............Lugha lugha........... unafahamu kisa cha mdomo ulisababisha kupondwa kichwa?
 
Kubebwa, mbona UD mabinti 90% wamebebwa walio mtaani naamini kwa sasa asilimia inaongezeka. Cheka cheka tu, hazipiti saa tatu utabebwa tu.
 
Mi napenda kukubeba ila nimezoea kulala na mke wangu sasa nikikubeba naweza kujisahau ukaona nafanya makusudi kwa kukupapasa papasa
 
Kwa msamaria mwema yeyote{wakiume} aliyeko mabibo hostels atakaeguswa na tangazo langu,bac naomba anipe huo msaada na mungu atamzidishia ktk maisha yake.asanteni
ubebwe kwani wewe ni mzigo???? kuwa muwazi eleza shida yako ueleweke!!!
 
maelezo yako hayajitoshelez,nenda kamweleze mkandala,dem wangu anatafuta wa kumbeba but lunch yake na dinner ni juu yako kila siku,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom