Natafuta mrembo wa kuishi naye

Natafuta mrembo wa kuishi naye

Joined
Jan 30, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Nakaribisha maombi ya uchumba,awe tiari kupima HIV/AIDS.Level of education, atleast she has completed form four.
 
Not only completed, but awarded form four leaving certificate
hapa kuepuka udanganyifu anaeza kuwa std 7 afu akudanganye bure!!!
 
Not only completed, but awarded form four leaving certificate
hapa kuepuka udanganyifu anaeza kuwa std 7 afu akudanganye bure!!!

tulia basi ndani na ww!

usisikie shamkware unataka uruke ukuta!
 
Et uishi nae uli ujisevie utakavyo oaa wewe
 
Huko mtaani kwako hawapo??

Kama umeshindwa hao unao waona ana kwa ana humu utaweza??
 
Huko mtaani kwako hawapo??

Kama umeshindwa hao unao waona ana kwa ana humu utaweza??

angalau angefanya kwanza risach and consultansi!

wanakimbiaga sana hawa!
 
Back
Top Bottom