Natafuta mrembo wa kuishi naye

Natafuta mrembo wa kuishi naye

Benk na asset zako zikoje mwaga wapo kama upo powa kiivyo yaani hayutalia njaaa powa
 
kwa hiyo huwezi kumfundisha si ndio?

jamani wahurumieni hawa..!

wahurumieni ng'ombe, mbuzi, kuku, bata, na vifaranga jamani!

kueni nao hivyo hivyo!

wapo size yao humu jamvini, vijana wenzao. watakuja tu.
 
Back
Top Bottom