natafuta mrembo humu

natafuta mrembo humu

uongo ni huu Bulldog anadai humu hakuna warembo wakati ni uwongo
hajakutana na wazazi tena wana mapacha but wako very hot
wapi cacico uje umueleze huyu kijana
shida ya Bulldog ni kukosa mwenza.....akipata maneno yote yataisha
 
Last edited by a moderator:
huo ukarimu unaishia hatua gani , haf unataka maried au single , wapo wengi humu na wote wakarimu, kuna
Natalia, joyness, amu, ram, Nazjaz, AshaDii, BADILI TABIA, Purple, Ciello, BelindaJacob, Husninyo, Gunda66, cacico, ,,kongosho, Lily Flower, mwaJ, bibi.com
Zion Daughter, neggirl, Paloma, lara 1, Evelyn Salt, Dena Amsi

Kaunga, Nyamayao,binti.com, nivea, snowhite, King'asti, Madame B, Preta,

Hao ni to start with, u wil get mo as ugeni wako unavyozidi kuisha, kila la heri


Anayejiona sio mkarimu jamani ajitoe kwa sababu za msingi kwa kiswahili zinazoanzia na herufi Q na X,
n.b, angekua mwanamme mkarimu anatafutwa humu, mtafutaji angeshindwa mwenyewe kuchagua wapo wengi wakarimu humu hadi raha.

mbona katika hii orodha wamejitokeza watatu tu,warembo wengine wameenda kula x mas au?
 
kijana kuna mrembo mmoja humu anaitwa kongosho,huyo ndio mwenye jukumu la kupokea wageni wenye akili kama zako!ila kuwa makini huwa anabadilika jinsia sekunde yoyote. Kongosho,haya kazi kwako nimekuletea mwana mbuzi huyo!
 
kijana kuna mrembo mmoja humu anaitwa kongosho,huyo ndio mwenye jukumu la kupokea wageni wenye akili kama zako!ila kuwa makini huwa anabadilika jinsia sekunde yoyote. Kongosho,haya kazi kwako nimekuletea mwana mbuzi huyo!

kama anabadilika jinsia huyo ni hatari asije akanigeuza mi mrembo mwisho wa siku
 
Back
Top Bottom