natafuta mrembo humu

natafuta mrembo humu

big IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
492
Reaction score
893
jamani za sa hizi..eeeh mi ni mgeni humu na kutokana na ugeni wangu nilikuwa nahitaji mrembo mzuri,mzoefu na mchangamfu ili anieleweshe na kunielekeza mazingira ya humu.ambaye yuko tayari ajitokeze,wanaume wazoefu humu ndani mnahusika kunichagulia mrembo ambaye kwa uzoefu wenu ni mchangamfu na mkalimu kwa wageni.legoooooo!!
 
huku hakuna warembo, wapo wamama afu wameshazeeka sana.
 
Huku utakuwa umepotea njia, sisi tumewatafuta warembo humu mpaka mwisho wa yote tumeamua kuwa "Wagumu"!.
 
duh mzee umeingia tu na kutaka hot chick, angalau ungeanza na cold, lito ugly, moderate ugly zen ndo super hot...kila la heri in ur bounty hunting
 
Nenda feis buku au facebook ndio kuna warembo huku umepotea njia au check na huyu Somoe ila masharti lzima uwe unatoka kwa wabebabox.....
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu Big IQ umenivunja mbavu uposema unataka mrembo mzuri. Je kuna mrembo mbaya? Nadhani urembo huwakilisha uzuri. Isitoshe warembo humu hata kama wapo si rahisi kuwajua kwa vile hawaonyeshi picha zao na kama zipo zaweza kuwa si zao. Ushauri wa kwenda facebook unakufaa ingawa nako watu wanaweza kutumia picha ambazo si zao.
jamani za sa hizi..eeeh mi ni mgeni humu na kutokana na ugeni wangu nilikuwa nahitaji mrembo mzuri,mzoefu na mchangamfu ili anieleweshe na kunielekeza mazingira ya humu.ambaye yuko tayari ajitokeze,wanaume wazoefu humu ndani mnahusika kunichagulia mrembo ambaye kwa uzoefu wenu ni mchangamfu na mkalimu kwa wageni.legoooooo!!
 
...warembo wa humu wote wamepigika na maisha kama wataka bebeshwa mizigo endelea
 
jamani eeeh nimesema nataka mrembo anielekeze mazingira ya humu sio mke sasa mnaniambia niende facebook huo ndo ukarimu gani?sasa mrembo wa facebook atanielekeza mazingira ya humu?tujipange wadau tunapotoa ushauri na tusiwe na mawazo negative..
 
sasa kuelekezwa mazingira ya humu hadi awe mrembo?? urembo huo wa avatar au? hebu check yangu kama inalipa...
 
kupanga ni kuchagua,nimeshachagua nilivyopanga nataka mrembo,urembo unahusisha vingi hata uzuri wa avatar unahusika,ya kwako nzuri MREMBO.big up.
 
Mwanangu Big IQ umenivunja mbavu uposema unataka mrembo mzuri. Je kuna mrembo mbaya? Nadhani urembo huwakilisha uzuri. Isitoshe warembo humu hata kama wapo si rahisi kuwajua kwa vile hawaonyeshi picha zao na kama zipo zaweza kuwa si zao. Ushauri wa kwenda facebook unakufaa ingawa nako watu wanaweza kutumia picha ambazo si zao.

wengine ni wazuri wa sura lakini tabia zao mbaya,sasa hao tunawaita warembo wabaya..au bado nimechapia?
 
kupanga ni kuchagua,nimeshachagua nilivyopanga nataka mrembo,urembo unahusisha vingi hata uzuri wa avatar unahusika,ya kwako nzuri MREMBO.big up.

haya dogo mrembo huyo umempata kaa nae karibu akujuze mambo ya humu.
 
jamani za sa hizi..eeeh mi ni mgeni humu na kutokana na ugeni wangu nilikuwa nahitaji mrembo mzuri,mzoefu na mchangamfu ili anieleweshe na kunielekeza mazingira ya humu.ambaye yuko tayari ajitokeze,wanaume wazoefu humu ndani mnahusika kunichagulia mrembo ambaye kwa uzoefu wenu ni mchangamfu na mkalimu kwa wageni.legoooooo!!

huo ukarimu unaishia hatua gani , haf unataka maried au single , wapo wengi humu na wote wakarimu, kuna
Natalia, joyness, amu, ram, Nazjaz, AshaDii, BADILI TABIA, Purple, Ciello, BelindaJacob, Husninyo, Gunda66, cacico, ,,kongosho, Lily Flower, mwaJ, bibi.com
Zion Daughter, neggirl, Paloma, lara 1, Evelyn Salt, Dena Amsi

Kaunga, Nyamayao,binti.com, nivea, snowhite, King'asti, Madame B, Preta,

Hao ni to start with, u wil get mo as ugeni wako unavyozidi kuisha, kila la heri

Anayejiona sio mkarimu jamani ajitoe kwa sababu za msingi kwa kiswahili zinazoanzia na herufi Q na X,
n.b, angekua mwanamme mkarimu anatafutwa humu, mtafutaji angeshindwa mwenyewe kuchagua wapo wengi wakarimu humu hadi raha.
 
jamani eeeh nimesema nataka mrembo anielekeze mazingira ya humu sio mke sasa mnaniambia niende facebook huo ndo ukarimu gani?sasa mrembo wa facebook atanielekeza mazingira ya humu?tujipange wadau tunapotoa ushauri na tusiwe na mawazo negative..

kua mpole me nimekuelewa sana , fanyia kazi sasa, ushindwe mwenyeweeeeeeeeeeee, hafu acha ubaguzi we mazingira ya humu tu unataka mrembo, shauriyako na huo uchaguzi wako
 
Back
Top Bottom