Natafuta mpishi

Natafuta mpishi

lissuash

Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
75
Reaction score
8
natafuta dada anayejua kupika vizuri. Anapika na kurudi kwao. napatikana tabata.
 
Tabata sehem gani maana tabata kubwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
natafuta dada anayejua kupika vizuri. Anapika na kurudi kwao. napatikana tabata.

Ninae bibi yangu mzaa baba anajua kupika vizuri makande,mbilimbi kwa ugali.mchemsho wa dagaa,nyanya chungu kwa ugali.ubwabwa na utumbo wa kitimoto,chai na ugali.nikuunganishe nae?
 
natafuta dada anayejua kupika vizuri. Anapika na kurudi kwao. napatikana tabata.

INAELEKEA WEWE NI DOMO ZEGE UMESHINDWA KUTONGOZA SASA UNATAKA WA KUJISEVIA KIRAHISI HAKUNA KAZI HAPO.....kwani hata wanaume wanajua kupika vizuri....be straight kua UNATAFUTA MKE
 
INAELEKEA WEWE NI DOMO ZEGE UMESHINDWA KUTONGOZA SASA UNATAKA WA KUJISEVIA KIRAHISI HAKUNA KAZI HAPO.....kwani hata wanaume wanajua kupika vizuri....be straight kua UNATAFUTA MKE

as you wish...showcase your ignorance
 
Aise lissuash bora umeamua kutafuta tu mpishi. Kwa usumbufu wa watumishi wa ndani kwa sasa ni bora uajiri chef anakuja say three times a week anapika na kuhifadhi kwenye friji, kazi ni kupasha tu kama hakuna watoto wadogo!!! Kama watoto wapo basi awe anakuja na kupika na kuondoka. Then unaajiri house keeper kwa ajili ya kuhakikisha nyumba ni safi na imetandikwa ipasavyo. Na mwisho gardener ambaye atahusika na environment ya nje tu. Ni a bit expensive but it helps kama una hela. Wazungu wanaweza ni kwa nini sisi tufungwe na hawa House Girls wanalala kwako na kesho wanaleta mabwana kulala wakati umesafiri? Unamlisha, kumlaza, medical care na mazagazaga yote lakini ni hasara tu. Bora uajiri proffesionals na walipe mshahara wa kueleweka kiishe tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom