Jackline Ngowi
New Member
- Mar 28, 2014
- 1
- 0
Mimi Niko tayari
appreciateAise lissuash bora umeamua kutafuta tu mpishi. Kwa usumbufu wa watumishi wa ndani kwa sasa ni bora uajiri chef anakuja say three times a week anapika na kuhifadhi kwenye friji, kazi ni kupasha tu kama hakuna watoto wadogo!!! Kama watoto wapo basi awe anakuja na kupika na kuondoka. Then unaajiri house keeper kwa ajili ya kuhakikisha nyumba ni safi na imetandikwa ipasavyo. Na mwisho gardener ambaye atahusika na environment ya nje tu. Ni a bit expensive but it helps kama una hela. Wazungu wanaweza ni kwa nini sisi tufungwe na hawa House Girls wanalala kwako na kesho wanaleta mabwana kulala wakati umesafiri? Unamlisha, kumlaza, medical care na mazagazaga yote lakini ni hasara tu. Bora uajiri proffesionals na walipe mshahara wa kueleweka kiishe tu.