natafuta mpenzi

breaking news bado inadumu
jamaa ana bum lake anasaka mrembo wa kumshawishi asiende chuo
 
Kijana soma kwanza, acha tamaa ya mademu, unachagua mwenye kijungu, wewe ulishatengeneza chako hata cha udongo? usione vinaelea
 
tofali za ukuta wako ubora wake ukoje,usikute mfuko mmoja wa cement umetoa tofali 45 halafu unataka mwenye kijungu kikuuuuubwa:llama:
 
anatafuta hawara kwani aliyenaye ameshamchoka.
Msianze mapenzi mapema hivyo kiasi cha kuanza kubadilisha kama kanga vile, nini cha maana kwako?
 
Wamakonde kibao huko au waogopa dasturi za kimakonde? Jifunze watakufunza na kukunywesha yale mabifu ya kumlaza msumbufu juu ya paa.
 
Dogo ungeenda kusoma 2 kwanza, mabinti hawaishi, pia u didnt need kusema tht unaenda kusoma "nje" nchumbiji! ili upate mke, au ndo sound zako hzo? 2ambie bac unaenda kusomea nini if at all it matters. ..kijungu nini bana?
 
Subiri ufike chuoni alafu weka tangazo lako kwenye notisi bodi!Ukipata bongo utaibiwa ukiondoka!
 
Nina rafiki angu mzuri kweli angekufaa ila anataka umtimizie haya: ukiondoka umwachie gari nyumba na kadi ya bank au uondoke nae upo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom