Natafuta mpenzi

Saleh Alli

Member
Mar 12, 2012
8
0
Ok, leo nimeingia tena kwenye uwanja we2 wa wapendanao kwa kumsaka yule mrembo atakae nifaa naish zenj.
 
Aisee yaani kirahisi namna hiyo? Mbona sijaona vigezo ambayo ndiyo criteria ya waombaji kutuma CVs zao.

Hebu ifanyie kazi ile kauli mbiu ya Vodacom ya kuwa masharti na vigezo kuzingatiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom