Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Una uhakika n unachokiongea? Hivi n uchizi gan uweke picha ya mtu, sema lingine
yaani hiyo picha yako na hicho kibanda ulichojistiria humo ni tosha kukuelewa ww ni wa type gani..
mkao wako pia ni jibu tosha.
asante.
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Wewe muongo, acha kusumbua watu,
 
juzi uliandika uzi ukidai wanaume sio wakweli unadhani humu utampata mkweli.
 
Kwani mpaka awe muislam??

Ushanitoa mchezoni tayari.
 
Siku ambayo nlipoteza cm nlikua nahamisha vitu kutoka nyumbani kwenda nlikopata chumba hivyo cm ikapotea nakumbuka siku hio aliniomba kiasi cha pesa kutokana na cm kupotea nkashindwa kumtumia kwakua namba ilikua kwenye cm baada ya kupata cm nkaingia jf kwenye pm yangu na kuchukua namba yake na kumtafta chaajabu hakutaka kunielewa tena na kunambia mimi mwongo na hanitaki tena
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Sifa zote ulizotaja ninazo na vigezo ninavyo najiamini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom