Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Siku ambayo nlipoteza cm nlikua nahamisha vitu kutoka nyumbani kwenda nlikopata chumba hivyo cm ikapotea nakumbuka siku hio aliniomba kiasi cha pesa kutokana na cm kupotea nkashindwa kumtumia kwakua namba ilikua kwenye cm baada ya kupata cm nkaingia jf kwenye pm yangu na kuchukua namba yake na kumtafta chaajabu hakutaka kunielewa tena na kunambia mimi mwongo na hanitaki tena

Hakuwa na mapenzi na wewe, alikuwa anatafuta pesa tu huyo, ndo mwenye picha hapo profile
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm

POLE UMECHELEWA...WENYE SIFA HIZO WAMESHACHUKULIWA MAPEMA TANGIA WAKIWA NA MIAKA 18.

ILA HUJACHELEWA BADO..UNAWEZA KUMTAFUTA WAKO NA UKAMTENGENEZA AWE WEWE UNAVYOTAKA....

MCHUKUWE MKRISTO AU MPAGANI KISHA MSILIMISHE, UMRI UNAWEZA KUSUBIRI AKAFIKISHA UNAOUTAKA KISHA AKAKUWOWA, KAZI UNAWEZA KUMTAFUTIA AU UKAMPATIA MTAJI AKAFANYA KAZI ZA KUJIAJIRI NA MAPENZI YA KWELI NI SUALA LA WAWILI KUAMUA KUWA WAKWELI AU WAAMUE KUDANGANYANA...NALO LIPO NDANI YA UWEZO WAKO.

JITAHIDI UTAPATA TUU...MIE NINAZO SIFA HIZO ILA USHACHELEWA NIMEWAHIWA MAPEMA TUU.
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Nchilam tena
 
kazi ni kigezo muhimu sana kwenye mahusiano ya siku hz
 
Siku ambayo nlipoteza cm nlikua nahamisha vitu kutoka nyumbani kwenda nlikopata chumba hivyo cm ikapotea nakumbuka siku hio aliniomba kiasi cha pesa kutokana na cm kupotea nkashindwa kumtumia kwakua namba ilikua kwenye cm baada ya kupata cm nkaingia jf kwenye pm yangu na kuchukua namba yake na kumtafta chaajabu hakutaka kunielewa tena na kunambia mimi mwongo na hanitaki tena

issabella
 
Hakuna lolote we unadhani anakoishi hakuna watongozaji? Tamara tu nakutaka maisha ya juu kuliko nakujiona hawezi Kuwait chini yamtu na sasa ameshindwa kujitegemea
Mkuu huwezi jua inawezekana akawa mke mwema.
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Kweli Hizi ni Dalili za Mwisho wa Dunia.

Issabella..Unapotoka,,, ulipozuruuuuuura umekosa hadi aje mitandaoni.

Duhhhhhh
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Hapo umekosea, mtu anayeruhusiwa kuoa wanawake 4, hawezi kuwa na mapenzi ya kweli, lazima yawe nusu-nusu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom