Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Nasubiri mrejesho wa hao watakaofanikiwa kuonana na wewe face to face, na wakute sio huyo wa kwenye avarta yako.
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Nakuja PM tuyajenge
 
kwa hii operesheni ya kamanda Sirro haya tuyategemee sana humu...hiyo ni mikakati mipya ya kuendelea kuwepo...haahaaa natania tu...kila la heri
Mkuu hautanii...
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Tupatie mrejesho sasa, maana naona ulitaka tu kutongozwa.
 
Doh... Kamanda Sirro anafanya mambo yaanze kwenda to the 'next level' nahisi sasa hivi hii ndo njia pekee ya kupata zile huduma zetu baada ya soko kuyumba katika maeneo yetu yale...
(sinza/buguruni/TMK/mbagala)

Acha nichangamkie fursa mida inaruhusu kabisaa...
Hahahaaaa.. Umeona mbali
 
Issabella usipoteze muda wako kujibizana sana na hawa watu wanakuzingua tu,mwenye nia ya dhati atakuPM na mtaelewana huko wenyewe. Hawa watakuumiza kichwa bure...... Best wishes dear!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha banigi hizii daaah hadi warembo siku hizi zinawachukua saaana punguzeni jmn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom