Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Jamn mm n mgen tu humu so mtanisameh maan nazion text lkn hazifunguki sasa tatizo n nn
 
isabela am serous ....nicheck pm kama hautajali .....ila nahitaji sifa zako zaidi pm tujuane...tukiridhiana inshaallah tuwe wote
 
Umebadilisha jina wewe ni miss arusha nakufahamu sana
 
Sasa hao watakayejitokeza hapa utajuaje kama hanatofauti na hao wanaokutongoza kila siku?
Utajua vp kuhusu uaminifu wao?
Halaf ukishaweza anza kudate na mtu kwa mfumo huu uliotumia huna tofaut na wale wa kimboka... umeacha wangap mtaani kwenu uje utafute humu???? Ila kama ni biashara tu bas na mm NATAKA
 
Hii wapendw, natafuta mwanaume mweny sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafany kazi n mweny mapenzi ya kweli na si kudanganyana. Mweny sifa hizo anifollow pm
We kazi unayo??? Au ndiyo kupe kwa kutumia chiu yako ule bila jashoooo!

Katafute pesa ndiyo ulete tuchanganye ili twende sawa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom