M masause Member Sep 20, 2018 52 97 Oct 4, 2022 #1 Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar. Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo; Umri: 22-30 Elimu : yoyote Rangi : yoyote Location: ar Asiwe mwanafunzi wa chuo. Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar. Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo; Umri: 22-30 Elimu : yoyote Rangi : yoyote Location: ar Asiwe mwanafunzi wa chuo. Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 19,671 51,956 Oct 7, 2022 #3 Utapata mkuu. Ungeweka sifa zako zaidi waje PM.
Aaliyyah JF-Expert Member Mar 20, 2022 15,986 38,132 Oct 8, 2022 #5 Mad Max said: Utapata mkuu. Ungeweka sifa zako zaidi waje PM. Click to expand... Nasubir Tangazo lako nije pm😂😂😂nasikia wew ndo bachelor sugu🤣🤣
Mad Max said: Utapata mkuu. Ungeweka sifa zako zaidi waje PM. Click to expand... Nasubir Tangazo lako nije pm😂😂😂nasikia wew ndo bachelor sugu🤣🤣
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 19,671 51,956 Oct 8, 2022 #6 sophy27 said: Nasubir Tangazo lako nije pm😂😂😂nasikia wew ndo bachelor sugu🤣🤣 Click to expand... Hahaha na picha kabisa naweka na namba ya cm, dah
sophy27 said: Nasubir Tangazo lako nije pm😂😂😂nasikia wew ndo bachelor sugu🤣🤣 Click to expand... Hahaha na picha kabisa naweka na namba ya cm, dah
Aaliyyah JF-Expert Member Mar 20, 2022 15,986 38,132 Oct 8, 2022 #7 Mad Max said: Hahaha na picha kabisa naweka na namba ya cm, dah Click to expand... 😂😂😂Utakuwa umefanya la maana Sana ni kukupigia tu direct 😂
Mad Max said: Hahaha na picha kabisa naweka na namba ya cm, dah Click to expand... 😂😂😂Utakuwa umefanya la maana Sana ni kukupigia tu direct 😂