Natafuta mpenzi wa kuanza nae maisha

Natafuta mpenzi wa kuanza nae maisha

Mkuu usijali km wewe ni mweusi, mi ni Albino so tunaweza tukatengeneza ZEBRA CROSSING (black & white) wanafunzi wakawa wanavuka barabara vyema....Tuyajenge Tafadhali... Zebra crossing kwa uvukaji salama wa barabara
2d670ea6b86377890023ab0ae9761634.jpg
130190d16425650e02d3e020a6e5ccfd.jpg
Haaaaaaahh haaaaahhh..! Hata avatar yake mwenye thread naiona.
 
sasa hela si tutatafuta... kwan ntakaa ntakuacha ulale njaa...!
Izo sifa zako zantishaaaa... Mfup kupitiliza kuna uwezekano wewe ni andunje... Mweusi mkaa unasubir... Kazi huna mmhhhh[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Sasa hivi kila mwanaume suruali atajifanya mwalimu wa arts
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom