ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 926
- 1,928
😅😅😅😅Sifa zake
● Awe mrefu kiasi
● Umri kuanzia miaka 28 hadi 31
● Awe muajiriwa au amejiajiri
●Dini yeyote.
● Kabila lolote
● Awe na mtoto mmoja
Sifa za mtafutaji
●Mrefu mweusi kiasi
●Mpole kiasi
● nimejiajiri
●umri miaka 29
mawasiliano pm ipo wazi
Akipatikana maeneo haya ni sawa Geita, Mwanza na Dar es salaam
😂😂😂😂Mimi mjane nina 28 sikufai?
M nshakwambia hata kushusha nyuzi humu siweziiiiii we angalia kam nmewahi🤣🤣🙌🏾Anza wewe ukipata unitie moyo na mimi nishushe😂😂
Nimeenda kantolea nje,eti mechelewa mieKimbia PM chap kabla hajanyakuliwa😆😆
Dah! subiri Mungu anakuletea wako soonNimeenda kantolea nje,eti mechelewa mie
Mbona ni rahisi sana tu, sema tu hujaamuaM nshakwambia hata kushusha nyuzi humu siweziiiiii we angalia kam nmewahi🤣🤣🙌🏾
Amiiiiiiiiiiinaaaa😂😂😂napokeaaaaaaaDah! subiri Mungu anakuletea wako soon
yaani na sitaki,,sasabu ntakua nasema hata nkiwa chooni mimMbona ni rahisi sana tu, sema tu hujaamua
😂😂😂yaani Acha tu mimi siku hizi nimepunguza sana kupost postyaani na sitaki,,sasabu ntakua nasema hata nkiwa chooni mim
Sasa mm uo ugonjwa hapanaaaaa 🤣🤣😂😂😂yaani Acha tu mimi siku hizi nimepunguza sana kupost post
Hutaki kuwa content creator wa kujitolea😂😂Sasa mm uo ugonjwa hapanaaaaa 🤣🤣
TenaHaijakidhi vigezo
Akipata wengi anigawieWewe tuma CV usiulize bado anachagua aliye bora
Ms R mchumba huyu hapa 😎Akipata wengi anigawie
Aunt yangu huyoMs R mchumba huyu hapa 😎
Kivipi🥲😂Aunt yangu huyo
Hujui shangaziKivipi🥲😂
Kumbe una ndugu humu, hongeraHujui shangazi
Unatakiwa uungane nasiKumbe una ndugu humu, hongera