Hizo movie zipo asia, korea north,china na hata vietnam kwenyewe, pia urusi watakuwepo nazoJamani wanajamvi habari zenu natafuta MUVI ya vita ya VIETNAM au ya vita kuu ya pili ya dunia ambayo HAIMPENDELEI Marekani
maana nimechoka sana kuangalia MUVI zilizojaa propaganda za Wamarekani yani kifupi MUVI zimejaa uongo mwingi kuuusu uwezo wa Marekani katika medani za kivita yani air battle, ground battle, marines,battfield.
MUVI nyingi zinazohusia na hizi vita zinalenga kuifanya Marekani ionekane ina uwezo mkubwa sana kuliko majeshi mengine duniani.
mfano denge za adui kudunguliwa Lkn za Marekani hazidunguliwi wakati wa vita,
askari wa nchi nyingine kupukutishwa kama vile mateja wakati wa Marekani ata lipigwe bomu waga wanauwezo wa kulikwepa kitu ambacho c sahihi
Tafadhali anayejua MUVI ambayo haina bias kama izo yani upendeleo dhidi ya Wamarekani naomba unitajie jina apa ili niitafute na niweze kutii kiu yangu.
Mwandiko wake umeongea kila kitu. Nafanya mpango niende USA.@BUjibuji usiombe nikuletee burgerAmesema anaichukia USA?
Jamani wanajamvi habari zenu natafuta MUVI ya vita ya VIETNAM au ya vita kuu ya pili ya dunia ambayo HAIMPENDELEI Marekani
maana nimechoka sana kuangalia MUVI zilizojaa propaganda za Wamarekani yani kifupi MUVI zimejaa uongo mwingi kuuusu uwezo wa Marekani katika medani za kivita yani air battle, ground battle, marines,battfield.
MUVI nyingi zinazohusia na hizi vita zinalenga kuifanya Marekani ionekane ina uwezo mkubwa sana kuliko majeshi mengine duniani.
mfano denge za adui kudunguliwa Lkn za Marekani hazidunguliwi wakati wa vita,
askari wa nchi nyingine kupukutishwa kama vile mateja wakati wa Marekani ata lipigwe bomu waga wanauwezo wa kulikwepa kitu ambacho c sahihi
Tafadhali anayejua MUVI ambayo haina bias kama izo yani upendeleo dhidi ya Wamarekani naomba unitajie jina apa ili niitafute na niweze kutii kiu yangu.
ukienda niketee treni ya umeme Na reli yakeMwandiko wake umeongea kila kitu. Nafanya mpango niende USA.@BUjibuji usiombe nikuletee burger
Rambo iko biased pia haizungumzii ukweli wa kilichotokeatafuta muvi inaitwa RAMBO
Hio labda nenda katafute VIETNAM ila hizi za Holywood kila vita kashinda Marekani.Jamani wanajamvi habari zenu natafuta MUVI ya vita ya VIETNAM au ya vita kuu ya pili ya dunia ambayo HAIMPENDELEI Marekani
maana nimechoka sana kuangalia MUVI zilizojaa propaganda za Wamarekani yani kifupi MUVI zimejaa uongo mwingi kuuusu uwezo wa Marekani katika medani za kivita yani air battle, ground battle, marines,battfield.
MUVI nyingi zinazohusia na hizi vita zinalenga kuifanya Marekani ionekane ina uwezo mkubwa sana kuliko majeshi mengine duniani.
mfano denge za adui kudunguliwa Lkn za Marekani hazidunguliwi wakati wa vita,
askari wa nchi nyingine kupukutishwa kama vile mateja wakati wa Marekani ata lipigwe bomu waga wanauwezo wa kulikwepa kitu ambacho c sahihi
Tafadhali anayejua MUVI ambayo haina bias kama izo yani upendeleo dhidi ya Wamarekani naomba unitajie jina apa ili niitafute na niweze kutii kiu yangu.
Kuna matukio ya kweli ya watu wachache au mmoja kupambana na hao 40 au zaidi. Kwenye vita wakati wengine wanapigana kwa ndege nk wapo special forces wanatumwa kwa mission maalum. Hawa wanaweza kuwa watano,watatu wanaenda sehemu ambako wanapambana na kikosi kizima.hao kwa misifa mbona ndio zao...eti chuck noris anapigana na wavietnam 40 akiwa peke yake na anafanikiwa kuwaua wote ...nilipoanza kuwa naakili timamu niliachaga rasmi kutazama movie za America ambazo zinebeba maudhui yanamna hiyo...
hapa ni corean series..China then na za Thailand...huwa zinasuuza moyo wangu na nafsi yangu zaidi kuliko hao Jamaa..
movies nyingine zinazonitwala ni za waingereza...kama ile series ya into the badland...daaahh huwa siishi hamu kuitazama