Mpole sana
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 527
- 110
Ninatauta model wa kiume ambaye ata fanya kazi kwa siku tatu kwa malipo ya 60,000 kwa siku kwa muda wa siku tatu .kazi atakayo shughulika nayo ni kupigwa picha za ufukweni .vigezo vinajulikana kwa yoyote anaye fanya kazi hii, ila pia kama uta tuma picha kwenye mesg itakua vizuri Zaidi.