Mpole sana
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 527
- 110
- Thread starter
- #21
Mimi sio mchawiSema tu kuwa unatafuta mtu wa kumtoa kafara awe msukule
Mimi sio mchawiSema tu kuwa unatafuta mtu wa kumtoa kafara awe msukule
Biashar ainapo kua change pia tunatafuta watangazaji walio wa change , hatujafikia level ya billioboards bado ndio tunaanza , kama mtu unapiga picha uko naboxer na kuweka FB , kwanini usipige picha hizo hizo na ukaingi akipoato kidogo na pia ukajitagaza Zaidi toka kwenye kampuni change aka brand change?Hahaha duh kazi ya kuuza sura kwenye tangazo kwa Tsh 180000 yataka moyo aise bora mngefanya hata 1.5 million yaani 500000 per day
Mwenye kibamia asikanyage hapa 😀😀😀ni picha kwa matangazo ya nguo za kuogelea za kume .
Le mutuz vipi atafaaa sana
Lazima usiwe na tumbo , sasa tumbo lile halitavutia na pia angalau kutune kwenye boxer na kibamia tena itakuaje?Le mutuz vipi atafaaa sana
Njoo tuongee inbox ZaidiHapo na fit kabisa ila dau ni dogo sana.Sifa ninazo sex body,urefu,pia hata Tango lipo la maana
...michezo yako tunaijua,
..kwahiyo ongeza dau 'bibie'
...teh hee hee..mkuda huyo sonso hatafuti cha model wala niniTeh teh teh!
Naona Mkuda unataka ukauze nyago hilooo!
...teh hee hee..mkuda huyo sonso hatafuti cha model wala nini
...teh hee hee...mambo yenu hayo mboga tisa,huku kwetu sie kwa Mnyamani hawajui hata handsome ndo niniBasi nkataka nikwambie wewe ungechangamkia fursa hiyo.
Totoz zinakukubali sana eti handsome wa kitaaa!
Ukifikia kutafuta ma model wa kupiga kazi chumbani nishtue nikaoshe rungu