Natafuta mme

Natafuta mme

Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.


HAHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH MSIMPE WAKATI MGUMU KATOA MASHART MALAINIIIIII WEWE TU ANGALAU BASI UJUE KUSOMA NA KUANDIAKA

AISEE BABA JES AKIKUSIKIA SHAURI LAKO

Honey Moons Tanzania.jpg
 
Nipo mimi,,,,Maana ajira hakuna,,ila Degree ya kitaa unayo achana nayo hiyo ya kwenye makaratasi,,
 
Mkuu jaribu kuacha mawazo chakavu, mtu kutaka kuolewa sio kwamba kaboronga chuoni, mi nadhani mme ni jambo heri tu. Harafu nimesema nataka mtu mwenye kujipatia kipato chake.
Kujipatia kipato chake...ndio kutakuwa cha kwenu....
 
Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
Acheni tamaa, upo chuo hamna wanafunzi wenzio hapo wakufunga nae pingu za maisha kweli? Basi unamatatizo we msichana
 
Futa kigezo cha kusoma na kuandika.Icho kigezo peleka Facebook.JF Ni Home ya Great Thinkers

Jalibu kujielezea pia na wewe ulivyo na utuambie kwa nini vijana awakufati apo chuo
Namanisha sijal level ya elimu mkuu.
 
mwanamke akitangaza kutafuta mume ni sawa na kutomtongoza mwanaume,je dada unayafahamu madhara ya mwanamke kuanza kumuhitaji mwanamke kabla ya mwanaume kumhitaji mke?
mimi nafahamu zifuatazo
1.Hatokujali,kukuthamini wala kukuheshimu kwa kuwa [HASHTAG]#hukuwa[/HASHTAG] chaguo lake bali wewe ulimuona mwanaume ndiyo chaguo lako.
2.Atakunyanyasa na kukufuja haraka mno kwa kuwa anaamini bado ana nafasi nyingine nje ya wewe
3.Hatuona kazi kukusaliti kwa kuwa anaamini huwezi kuchomoka kwake na hata ukichomoka inakuwa hajalose chochote
4.Anaweza akakosea na asikuombe msamaha wakati wote wa ndoa yenu.
5.Atakuchoka kwa haraka sana na kujiona SHUJAA
References: mwanaume yeyote ambaye alishawahi kutongozwa atuambie namna alivyokuwa akiishi na binti huyo na mwanamke pia ambaye amewahi kumtongoza mwanaume naye atuambie waliishi vipi,na ndipo tutafahamu mengi zaidi.
UJUMBE: mwanaume mzuri na atakaye kupenda ni yule ALIKUFUATA MSICHANA NA SIO YULE ULIMFUATA nashauri tu.

NB: WAPO WACHACHE AMBAO WANA HEKIMA NA BUSARA KATIKA HILO.
TANGU UMEANZA KUJIBIWA INAONESHA WAZI KUWA HUMU JF HAWAPO HATA MIMI SIFAI
Hiiii
Mkuu sasa mbona unatuchomea wenzio!!?
Tuachie bahati yetu bhana
 
Nini maana ya kusoma, unasoma ili uwe na maisha mazuri kupitia elimu uliyoipigania, sasa baada ya kuipata hiyo elimu mtu anatakiwa kutafuta kazi kwanza au kuolewa kwanza. Acha mawazo mfu.
Mkuu kama uko tayari wee njoo tuyajenge, sasa nitatafuta kazi mpaka lini. Mambo magumu ukitegemea kuajiliwa tu, watu tunajiajili wenyewe kwa kazi ndogo ndogo kwanza kisha mengine yanafuata.
 
Maliza chuo, tafuta biashara au kazi, jenga nyumba yako au nunua kiwanja. .ndiyo utafute mume. ...wanaume wa sikuhizi hawataki mizigo. ...
 
Njoo kwangu nina 25 yrs na degree huo umri uliotaja hapo mwanaume ameshaoa sio rahisi labda kumpata aliyeachika nipm kabla kupatwa kwa jua tuyajenge fasta
 
Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
miaka 31 ni ngumu kuwapata weng wameshaoa wataishia kukuchezea na kukufanya mke wa pili ila tafuta vjna wanaotaka kuoa pia, km utakuwa tayar me nipo sm 26 yrs
 
Like hii post kama wewe ni
1. Slim au average weight
2. Good looking & presentable
3. Fashionable

Nitakuja pm ya tabia tutayajua mbeleni
 
Unaonekana uko serious... Nami nahitaji mtu kama wewe ila umri u anitoa... Kama uko tayari kwa mtu wa miaka 28 tupange fasta nitoe mahari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom