Erickjr
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 994
- 788
Km Papuchi Bora Kuliko Dini Yako, Badili!!!Hapo kwenye dini pananikosesha papuchi aisee.
Km Papuchi Bora Kuliko Dini Yako, Badili!!!Hapo kwenye dini pananikosesha papuchi aisee.
Mkuu umenichekesha sana! Huo umri unaunaodai umeenda umeendaje? Rejea post yangu uone umri wangu!. Nimeona ndugu zangu wameoana bila kujal level ya elimu na wanaishi maisha yenye furaha sana hata zaidi ya hao wanaojali level kubwa ya elimu. Mtu anaejielewa sio lazima awe kasoma sana.
Wewe hii isikusumbue, mi nishakuambia kwenye post nina miaka 27, hiyo ni kwaajili ya kuficha mambo fulani fulani. Wee kama uko interestendi ungekuja PM labda tungeyajenga, tatizo umechelewa chelewa hapo mpaka mambo yameiva yamepakuliwa!
Ua4
Member, 44
Ua4 was last seen:
Today at 12:02 PM
- About
Birthday:
Jan 31, 1972 (Age: 44)!!!!!!!!!!!!!!!!!!.........................???????????????????? Kikongwe wahedi.....
Maliza kwanza chuo maana wengine tukisikia tu bado unasoma basi tunakumbuka majanga yenu
duu yalishakukuta niniBaba yake na huyo dogo alikufa au yuko hai??Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
uko serious kaka?Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
Huyo ni dadauko serious kaka?
nlikosea aiseHuyo ni dada
