Ua4
Member
- Aug 30, 2016
- 32
- 54
- Thread starter
- #21
Mkuu jaribu kuacha mawazo chakavu, mtu kutaka kuolewa sio kwamba kaboronga chuoni, mi nadhani mme ni jambo heri tu. Harafu nimesema nataka mtu mwenye kujipatia kipato chake.Ushaona umeshaboronga chuoni sasa unatafuta kichaka cha kujifichiae? Ulikuwa unasomea kupata mume au kazi? Unataka mume mwenye kipato kwanini wewe hujafikiri kutafuta kipato kwanza unatafuta mume? Mbona umejirahisisha hivyo ni mzima kweli?


