Natafuta mme msabato(seventh day adventist)

Natafuta mme msabato(seventh day adventist)

Mmmhhh kumbe una mtoto then unatoa masharti kibao..anyway njoo pm tujaribu kuwekeana mikataba
 
Mbona watu cyo wastaraabu .dada kila kitu kaweka waz lkn ni kejeri na dharau kibao.dada mungu akubariki utapata mwenzi wa maisha kuwa mvumilivu na mwenye subira
 
Huyo msabato gani wa kutafuta wachumba kwenye mitandao? Ukikutana nae anatoka kanisani ukamuomba uchumba ana dashi eti nisha chumbiwa tayari na mahali isha tolewa baadae akishika simu anabandika tangazo eti natafuta mchumba
Mchumba wa love connect? Utafanywa mchepuko cheza uone!
 
kwa hiyo sheria za kisabato haziruhusu kutafuta mchumba kwenye mtandao? Ina maana wasabato wote waliooa na kuolewa walikutana kanisani?
Hv kwann huwa mnashindwa kuelewa walioko hapa ndo waliopo huko makanisani na mitaani.
 
Sihitaji mme jamani, nilikuwa nafanya utafiti na sasa umekamilika,

Asante kwa wote mlokuja PM.

UTAFITI? Na ikitokea upatikane na shida, utakimbilia wapi baada ya kuchezea watukufu wanaJF akili?
Bila shaka unajipiga kifua na kujiita mbingwa, ushindwe katika jina la YESU WA WASABATO!
 
Back
Top Bottom