Natafuta mlinzi wa campuni....naomba kujuzwa kwa mwezi bei gani wanalipwa..

diet

Member
Aug 1, 2012
56
8
Jaman wana jf... natafuta mlinzi wa nyumba.... kutoka campuni yyte hapa dar.... naomba km kuna anaewajua....anipe mwongozo....
 
Chukua kutoka Knight Support, kuhusu mshahara mtaelewana huko huko na kampuni husika.....mimi ni mlinzi ila najitegemea! na bunduki ninayo!
 
Jaman wana jf... natafuta mlinzi wa nyumba.... kutoka campuni yyte hapa dar.... naomba km kuna anaewajua....anipe mwongozo....

Mengi ya haya makampuni madogo inagharimu kati 250k-300k kwa mlinzi mmoja
 
Afu kinachouma mlinz analipwa kuanzia 20000 hadi 70000 kwa mwezi

hakuna kazi ngumu kama ya mlinzi,alitakiwa alipwe hata kuanzia laki 5 hivi. Anaweka rehani maisha,usingizi na hata ndoa yake kwa malipo kidogo namna hii.majambazi wakija ndie wa kwanza kumalizwa.poleni walinzi.
 
wasiliana moja kwa moja na kampuni iitwayo SWIFT SECURITY GUARD KWA NAMBA 0786- 019-923 upate reality
 
hakuna kazi ngumu kama ya mlinzi,alitakiwa alipwe hata kuanzia laki 5 hivi. Anaweka rehani maisha,usingizi na hata ndoto yake kwa malipo kidogo namna hii.majambazi wakija ndie wa kwanza kumalizwa.poleni walinzi.

una uhakika?
 
Walinzi ulipwa kati ya 100 hadi 180k p.m ila wewe unalipa kampuni sh 250 hadi 350k kwa mlinzi m1.
 
Mkuu,nime-attache kijipeperushi cha kampuni mashuhuri dsm ambacho kitaweza kukusaidia huduma hiyo ya ulinzi riliably.
 
Back
Top Bottom