sasa wewe ukitaka aliemaliza starehe zote unamaanisha nini, hebu kuwa specific, maana starehe zinatofautiana,
kwa mfano kuna mtu starehe yake ni kula huyo unategemea atamaliza lini, mwingine ni kulala etc etc... wengine ni kugegedwa sasa huyu akiwa amemaliza hiyo starehe ukioa mkuu si atakuwa anasoma tu gazeti ndani.,
huwezi kumaliza starehe ila tu unatakiwa ujue kujicontrol....starehe in mawanda mapana sana