usimkatishe tamaa mbona tupo wengi humu jmnTafuta wasimbe na wanaojiuza hapo dar! Humu jf ni kwa wenye akili timamu na familia zao.
mpe basi,mpo wengi.usimkatishe tamaa mbona tupo wengi humu jmn
Nimpe ninimpe basi,mpo wengi.
Kamata fursa hiyo kabla hujawahiwa na wenzako,wahenga wanasema bahati haiji mara mbili,Uongo The Icebreaker ?
HahahahahKamata fursa hiyo kabla hujawahiwa na wenzako,wahenga wanasema bahati haiji mara mbili,
Nikutakie kila la heri kwenye maisha yako mapya ya ndoa.
All the bestHahahahah
Merci 😅
ThengzAll the best
Tous mes voeux reussite
Kila la heri mkuuTafuta wasimbe na wanaojiuza hapo dar! Humu jf ni kwa wenye akili timamu na familia zao.
Mbona mzee wa watu yuko fair mamaumri baba punguza kidogo namie nizamie
Hapana,,sasa umri huo mi sijafika npo chini ya io 30 huoni nakosa mume apoMbona mzee wa watu yuko fair mama
We feki tu wanaume hawanaga mambo ya umri sana😁 ata kama uko below 20 wanabeba tuHapana,,sasa umri huo mi sijafika npo chini ya io 30 huoni nakosa mume apo
😆😆Vigezo na masharti kuzingatiwaWe feki tu wanaume hawanaga mambo ya umri sana😁 ata kama uko below 20 wanabeba tu
😆😆Vigezo na masharti kuzingatiwaWe feki tu wanaume hawanaga mambo ya umri sana😁 ata kama uko below 20 wanabeba tu
Hakija haribika kitu,Hapana,,sasa umri huo mi sijafika npo chini ya io 30 huoni nakosa mume apo
unasema kweli!?Hakija haribika kitu,
Nicheki PM ule mema ya nchi.
Kama utaweza kustahamili baridi la mabarafu karibu sana.unasema kweli!?