Natafuta Mke

Natafuta Mke

BLS

Senior Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
166
Reaction score
308
SIFA ZANGU
Umri 36
Dini: Mkristo
Elimu: Shahada ya Uzamili.
Ajira: Mwajiliwa wa serikali.
Urefu : 172cm

SIFA ZA MWANAMKE
Umri 30-36
Dini: Yoyote
Kabila: Lolote.
Elimu: Diploma na kuendelea.
Kazi: Yoyote halali.

NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
 
Yupo mkali sana ana watoto 4, 3 wa baba mmoja, 1 wa baba mwingine lkn wote haishi nao. If interested niku-pm namba yake.
 
SIFA ZANGU
Umri 36
Dini:.Mkristo
Elimu:Shahada ya uzamili.
Ajira:Mwajiliwa wa serikali.
Urefu :172cm

SIFA ZA MWANAMKE
Umri zaidi ya 30.
Dini:Yoyote
Kabilaote.
Elimu: Diploma na kuendelea.
Kazi:Yoyote halali.

NB:Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
 
Na mm natafta mke jaman
27 yrs
Elimu ya kuunga unga hata high school cjafika
Din. Christian

Wewe dada uwe na hiz sifa Tu mengine
Baadae

20-25 yrs
Uwe Christian


NB: pesa za matanuzi sina
 
SIFA ZANGU
Umri 36
Dini: Mkristo
Elimu: Shahada ya Uzamili.
Ajira: Mwajiliwa wa serikali.
Urefu : 172cm

SIFA ZA MWANAMKE
Umri 30-36
Dini: Yoyote
Kabila: Lolote.
Elimu: Diploma na kuendelea.
Kazi: Yoyote halali.

NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
Umepata?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom