Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,354
pole,mara moja moja uwe unanijoin pale kempiks,huwaga niko pale sana hasa tym za lunch.Thanks kaka,maana nimechoka kulishwa hamira na mama ntilie kwa kweli.
pole,mara moja moja uwe unanijoin pale kempiks,huwaga niko pale sana hasa tym za lunch.Thanks kaka,maana nimechoka kulishwa hamira na mama ntilie kwa kweli.
Jamani eee!!,
Nimefikiria sana kwa undani nimeona nije humu jamvini kutangaza kwamba sasa natafuta Mchumba ili aje awe mke wangu mungu akipenda, maana maisha ya ukapera na ubachela yamenichosha sasa.
Vigezo;
Kabila lolote kasoro Mzaramo, Mkinga, ****** na Mmachame,
Duh,yamekua hayo?Tukianza kuchafuana namna hii si hata hao wachumba naowahitaji watakimbia?Mambo mengine ni ya kuambiana kwenye PM mkuu, si hadharani namna hii.Unaumri gani? Umechafua sana mitaani ndo unajifanya unahitaji mke, anyway ni maamuzi mazuri.Nakushauri ufunge kwa maombi maalum.Muombe Mungu akupe mke mwema na si kabila njema.Mm na kuweka ktk maombi ila acha kabisa ufusika.
asisahau na cha angaza.Tunaomba uambatanishe na cheti chako cha kuzaliwa.
dah! Ilikuwa bdo kidogo nikuPM kumbe me Mmachame! Dah!Jamani eee!!,Nimefikiria sana kwa undani nimeona nije humu jamvini kutangaza kwamba sasa natafuta Mchumba ili aje awe mke wangu mungu akipenda, maana maisha ya ukapera na ubachela yamenichosha sasa.Vigezo;Awe mrembo,Mchapa kazi,Asiwe mnywaji wa pombe,Asiwe mpenda kujirusha,Asiwe muongeaji sana,Kabila lolote kasoro Mzaramo, Mkinga, ****** na Mmachame,Sio mnene sana but angalau uwani kajazia,Elimu kuanzia Form6, na awe tayari kujiendeleza zaidi,Asiwe mkorofi wala mgomvi,Dini yoyote, ila tu aamini Mungu ni mmoja Muhammad ni moja ya mitume wake,Kazi sio lazima sana, ila kama anayo iwe ya halali,Umri usizidi miaka 27,Awe hajawahi kuolewa akaachika,Msafi wa nje na ndani,Mpenda na mheshimu ndugu zake na zangu,Mwenye upendo wa kweli sio wa 'kifedha' zaidi,Awe tayari kupima hospitali.Wasifu wangu,Elimu Degree moja,Muislam,Mwajiriwa sekta binafsi,Mpole,Mrefu kias (1.8m),Kwa alie tayari tujuane zaidi kwenye ''Private Message''
Binafsi naamini Cheti si kithibitisho cha kuaminika.Sio sawa na cheti cha chuo ukishatunukiwa digrii ndo unayo moja kwa moja,Angaza unaweza kupewa cheti leo kisha kesho ukaukwaa na bado cheti unacho unawadanganyia watu.asisahau na cha angaza.
umri wako?
shosti kwani wewe nawe watangaza??? hahahahhaaaa (its jokes)
Aiseee.......hii umeichimbua wapi.......mbona ya long tym sana......?.......2011.........!!!!!