G guest-1787677467 Guest Aug 9, 2023 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini. Nawasilisha.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini. Nawasilisha.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 53,728 Reaction score 99,586 Aug 9, 2023 #2 jimmygatete said: Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini. Nawasilisha. Click to expand... Upo sahihi. Kuoa ni jambo jema. Tuombe kheri.
jimmygatete said: Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini. Nawasilisha. Click to expand... Upo sahihi. Kuoa ni jambo jema. Tuombe kheri.