Natafuta mke wa kweli

Wewe mwisho umesahau mashetani ni kweli ila kuna wengine niwazuri
 
Wewe mwisho umesahau mashetani ni kweli ila kuna wengine niwazuri
Anatakiwa kujua mtandao ni jumuia siyo sawa kuikosea jumuia kwa makosa ya watu wachachee ,,jamii forum kuna maaskofu kuna usalama,jeshi la taifa,viongozi wa chama wachungaji kuna mashekhe ,kuna maustaz ,maustazati, mamufti na kuna wasioamini Mungu, ndiyo maana kuna majukwaa tofautitofauti,,kusema hivyo nikukosea raia ,,na hayo ndiyo matumiz mabaya ya mtandao
 
We uttoh2002 wasichana na wanawake tuliomo humu JF tumekukosea nini???πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hakuna mfupi wa size si useme wewe ni andu
 
Zingatia awe bikra utanishukuru
 
Je wewe ni mme wa kweli?, Usije ukawa mme wa kweli kwa miaka 2 ama mwaka mmoja halafu manyoya, (pruuu)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…