Trouserman
Member
- Jun 3, 2022
- 47
- 49
- Thread starter
-
- #21
Huku Kuna
- Ma gube gube.
- Chronical single Mothers.
- Women with multiple partners
- Wezi
- Wanyang'anyi
- Matapeli wa mapenzi
- Walokole feki
- Wachawi.
- Washirikina
- Majini yenye miili ya watu
- Frustrated Women
- Wamama wazuri wenye ndoa
Hemu angalia kwingine Bro, this is a camp of useless broken people! Kama umekosa kabisa Bora ukahasiwe kuliko tafuta mke humu
Siyo kila mwanamke ndani ya kanisa ni mke mwema ,,pia siyo kila mke mwema ni mke wangu!.Wachungaji wenzako huwa wanaoa humohumo kanisani miongoni mwa washirika. Ina maana unaanza kazi na huna washirika? Piga injili upate washirika, mke utampata humohumo, kwa hapa utaishia kuzodolewa mtumishi
uttoh2002 anataka awe anawakula peke yakeTumekukosea nini 😒
Hapana hajanyamaza ,,,maombi yanaenda na tendo la imanii,, hii ni hatua ya imani ,,ukiomba fanyakazi kazi,,ili Mpate kuna kazi ya kuangalia sasa siyo kweli kwamba Ukiomba Mungu anakuletea bali ukiomba unamwona ,ko unalazimikq kuenda hukuhuku na huku na Mungu atakukutanisha nayeNdugu pastor inaonekana Mungu/roho mtakatifu amenyamaza sana upande huo Hadi umeamua kutangaza mtandaoni.
Anyway, Nakutakia yaliyo Mema.
Asantee nashukuruPastor,mbona huko Tabora kuna mabibie wema na wazuri?Au unapendelea wenye, angalau,uzoefu wa kuperuzi JF?Nenda Ndewelwa,Kipalapala,Inyonga,Nyambele,Usoke,Magili,Nyahua,Mabama,Intonjanda,Kwihala,Chabutwa,Igombe,Nkiniziwa,Ndala hadi Bukene utampata liwazo lako tu.
Mungu amekupa akili siyo kwa ajili ya Mapambo bali za kuzitumia ,,ni vizuri kuzitumia,, husitumie hisia tumia akili pekee unapoamua kutoa maoni yako mbele za watu
Asantee Mungu pekee ndiye ninamwamini kunipa mkee WANGUNikupe huyu pichani ndugu mchungaji
Akili zako zimepoa kama Upendo wa watu wengi katika siku za mwisho.Stop being personal, nyie ndo wale watu mlikuwa mnatembea na ma vitabu Makubwa ya physics mkiwa for six na kujidai mpo serious na mkafeli wotw
mchungaji wanawake wa mitandaoni utawaweza? Komaa na washirika wako, humohumo mke mwema wako yupo!Siyo kila mwanamke ndani ya kanisa ni mke mwema ,,pia siyo kila mke mwema ni mke wangu!.
Una uhakika nimepost kutoka mbinguni au kutokea mtandaoni kwanini Auna imani hiyo?mchungaji wanawake wa mitandaoni utawaweza? Komaa na washirika wako, humohumo mke mwema wako yupo!
sijawahi kuona mchungaji mwenye kiburi cha uzima!Una uhakika nimepost kutoka mbinguni au kutokea mtandaoni kwanini Auna imani hiyo?
sijawahi kuona mchungaji mwenye kiburi cha
Mithali 26:5
5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake;
Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
Answer a fool according to his folly, lest he be wise in his own conceit.
lakini anipendeze machoni
Wewe wasemaTrouserman, wewe ni dume suruali ama 🤔
Nauliza, au jina linasadifu yaliyomoWewe wasema
Sina uhakikaNauliza, au jina linasadifu yaliyomo
🤣🤣🤣🤣 Asantee ushauri wako ni mzuriii sana serious but Very FunUtapata, nenda leo maandamano ya ekaristi(sherehe ya mwili na damu ya KRISTU )unaeza pata binti hata njiani wakati wa kuandamana (hii ni kwa wakatoliki)