Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,785
- 4,498
Sasa ukisema hivo Kwa kizazi Cha Sasa utakuwa unalenga bikra ya wapi labda, maana sizani kama Bado Kuna mwanamke wa umri huo mwenye bikra ya mbeleKama Vigezo vyako vyoote hakuna kinachomtaka lazima awe BIKIRA.
Basi tarajia kupata aliyetoa mimba kama kawaida.
Ukitaka hizo sifa ulizoziainisha ni sharti awe na BIkIRA yake.
Hakuna mwenye bikira hata mmoja aliyewahi kutoa mimba.
Hakuna mke mwema asiye na Bikira
Na hakuna mcha mungu asiye na bikira vilevile.
Hivyo vigezo vyooote vinabebwa na kigezo kimoja tu BIKIRA ambacho wewe hujakiandika.
NB: Kupata Bikira Jf ni sawa kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi.
Hii ni kauli ya wanaume useless tu. Umri miaka 18_22 Bikira zipo nyingi tuSasa ukisema hivo Kwa kizazi Cha Sasa utakuwa unalenga bikra ya wapi labda, maana sizani kama Bado Kuna mwanamke wa umri huo mwenye bikra ya mbele
Hawa si wanaume mkuu
DaeHabari za wakati huu....
Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi zaidi huku nakumwomba Mwenyezi Mungu maana mke mwema anatoka kwake..
Mimi ni kijana mwenye miaka 28 sina mtoto , ni mpole na sitaki purukushani na mwanamke katika safari ya ndoa japo najua purukushani zipo ila ni zile za kiasili sio za ujinga ujinga sipendi , pia ni mpambanaji.
NATAFUTA MKE MWEMA WA KUOA..
BINTI AU MSICHANA awe na sifa zifuatazo:
1:Mkristo na mwenye hofu ya Mungu kweli kweli na awe mkweli ..
2: Awe na umri kwanzia miaka 18-27. Asiwe na mtoto yaani asiwe amewahi kuzaa, na awe na elimu kuanzia darasa la saba na mwisho ni degree level..
3: Awe hajawahi kutoa mimba wala kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa namna yeyote ile.
4: Awe tayari kuitwa mama muda wowote na mwenye kujua thamani ya kua mke na kua mama na thamani ya mtoto na mume pia
5: Awe mtii na mwenye heshima kwa wakubwa na wadogo na kwa mimi mume wake na kwa watu wote wanao mzunguka
6: Asiwe amewahi kutumia vilevi vyovyote vile na asiwe anapenda mambo ya anasa na maisha mepesi mepesi ajue maisha ni kupanda na kushuka.. ni mwiko kuwa na tamaa na kulinganisha mumeo / ndoa yako na ya watu wengine
7: Asiwe katoboa masikio zaidi ya mara moja, asiwe katoboa pua, kitovu au sehemu yeyote ya mwili wake , asiwe kachora mwili wake tatoo yeyote na asiwe mfuasi wa kucha bandia au mwenye kubadili rangi ya asili ya nywele zake na ngozi yake ajikubali alivyo umbwa
8: Asiwe mwongeaji sana wala mtu wa kukaa vibarazani ( magroup group) awe anajiheshimu na kujipenda yeye mwenyewe na awe mshauri mzuri kwangu na kwa watoto pia tutakao jaliwa
9: Awe muwazi kwangu na msiri kwa watu wengine ajue kutunza siri za maisha ya ndoa yetu
10: Asiwe feminist, asiwe mwana harakati, na asiwe na mtazamo wa haki sawa .. awe anakaa kike - mwenye kupenda uanamke wake na mwenye kujikubali yeye mwenyewe
Kama upo teyari kua mke na unasifa hizo njoo pm
Nawasilisha
Mkuu si kuna uzi huku uliandikaga una mademu zaidi ya kumi tena hawakuombi hela??Habari za wakati huu....

Wachaa wee!!
Labda ya mnduku, ila Kwa kizazi Cha watoto wa 2,000 hata ya mnduk wanaweza wasiwe nayo, Hawa kabla ya kuoa ni kuwakagua tuuHii ni kauli ya wanaume useless tu. Umri miaka 18_22 Bikira zipo nyingi tu
Vigezo vingi mno mkuu 😄 chukua udongo mfinyange wako mkuu ,mke hatafutwi hivyo.Habari za wakati huu....
Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi zaidi huku nakumwomba Mwenyezi Mungu maana mke mwema anatoka kwake..
Mimi ni kijana mwenye miaka 28 sina mtoto , ni mpole na sitaki purukushani na mwanamke katika safari ya ndoa japo najua purukushani zipo ila ni zile za kiasili sio za ujinga ujinga sipendi , pia ni mpambanaji.
NATAFUTA MKE MWEMA WA KUOA..
BINTI AU MSICHANA awe na sifa zifuatazo:
1:Mkristo na mwenye hofu ya Mungu kweli kweli na awe mkweli ..
2: Awe na umri kwanzia miaka 18-27. Asiwe na mtoto yaani asiwe amewahi kuzaa, na awe na elimu kuanzia darasa la saba na mwisho ni degree level..
3: Awe hajawahi kutoa mimba wala kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa namna yeyote ile.
4: Awe tayari kuitwa mama muda wowote na mwenye kujua thamani ya kua mke na kua mama na thamani ya mtoto na mume pia
5: Awe mtii na mwenye heshima kwa wakubwa na wadogo na kwa mimi mume wake na kwa watu wote wanao mzunguka
6: Asiwe amewahi kutumia vilevi vyovyote vile na asiwe anapenda mambo ya anasa na maisha mepesi mepesi ajue maisha ni kupanda na kushuka.. ni mwiko kuwa na tamaa na kulinganisha mumeo / ndoa yako na ya watu wengine
7: Asiwe katoboa masikio zaidi ya mara moja, asiwe katoboa pua, kitovu au sehemu yeyote ya mwili wake , asiwe kachora mwili wake tatoo yeyote na asiwe mfuasi wa kucha bandia au mwenye kubadili rangi ya asili ya nywele zake na ngozi yake ajikubali alivyo umbwa
8: Asiwe mwongeaji sana wala mtu wa kukaa vibarazani ( magroup group) awe anajiheshimu na kujipenda yeye mwenyewe na awe mshauri mzuri kwangu na kwa watoto pia tutakao jaliwa
9: Awe muwazi kwangu na msiri kwa watu wengine ajue kutunza siri za maisha ya ndoa yetu
10: Asiwe feminist, asiwe mwana harakati, na asiwe na mtazamo wa haki sawa .. awe anakaa kike - mwenye kupenda uanamke wake na mwenye kujikubali yeye mwenyewe
Kama upo teyari kua mke na unasifa hizo njoo pm
Nawasilisha
Siku hizi nasokomeza matunda😃Siku nikija kutangaza Nataka mke, bc kigezo ni kimoja tuu.
Awe anapiga nyeto, ila kwa kutumia vidole vyake tuu sio dildo wala vinginevyo.
Seran sijasema nakutaka, Ila fursa haiji mara mbili 😎
Achana na mm, upepo wwSiku hizi nasokomeza matunda😃
View: https://www.instagram.com/reel/DT8aieoCCz0/?igsh=OGtqcDhqM3Yyb2pw