Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,717 Reaction score 62,667 Jun 8, 2025 #21 dosho12 said: Msaidie kutafuta mke jamaa na akili itulie anahangaika toka 2017 mpaka leo hajapata mpaka na jina lake anaanza kusahau ๐๐ Click to expand... Aachane na kuoa afanye mambo mengine ya msingi,. miaka 8 mingi mnoo saizi angeshakuwa na mgodi wake kama angekua serious๐
dosho12 said: Msaidie kutafuta mke jamaa na akili itulie anahangaika toka 2017 mpaka leo hajapata mpaka na jina lake anaanza kusahau ๐๐ Click to expand... Aachane na kuoa afanye mambo mengine ya msingi,. miaka 8 mingi mnoo saizi angeshakuwa na mgodi wake kama angekua serious๐
Chica Gee JF-Expert Member Joined Jul 13, 2021 Posts 3,372 Reaction score 9,484 Jun 8, 2025 #22 dosho12 said: Chica Gee njoo huku kuna kazi ya kufanya tafuta kama ni rafiki zako anataka kuolewa tumtaftie jamaa mke, tuki tafuta wengi safari hii hawezi kukosa Click to expand... ๐๐๐ mwache ajipambanie mwenyewe
dosho12 said: Chica Gee njoo huku kuna kazi ya kufanya tafuta kama ni rafiki zako anataka kuolewa tumtaftie jamaa mke, tuki tafuta wengi safari hii hawezi kukosa Click to expand... ๐๐๐ mwache ajipambanie mwenyewe
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,366 Reaction score 183,357 Jun 8, 2025 #23 Smart911 said: Kila la kheri... Cc: Mahondaw Click to expand... Washamnasa kwenye darubin๐!
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 16,443 Reaction score 52,597 Jun 9, 2025 #24 Jamaa naona umeingia mitini๐