Ndoa ya upako2019
Member
- Sep 25, 2017
- 10
- 16
Hili ndio muhimu zaidiAnyway: No Reforms No Election
Mkuu tangu 2018 unatafuta Mke mpaka Leo hujapata tu, na hii miaka yako inaendaje 2018 ulikua na miaka 37 saivi 2025 una miaka 38 kwa maana hiyo miaka 7 kwako wewe ni mmoja? Aisee.... Kweli humu Kuna changamoto sana.Habari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani.
Samahani kwa wazo langu hili .
Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote.
Sifa zangu
Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke kwaajili ya maishaendelevu.kariu pm au piga nambahii
.0610622837 kwa mawasiliana zaidi
Subiria kampeni za ccm, wale wanaoletwa kwenye malori wamevaa vijora vya kijani.....jichagulie mmojaHabari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani.
Samahani kwa wazo langu hili .
Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote.
Sifa zangu
Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke kwaajili ya maishaendelevu.kariu pm au piga nambahii
.0610622837 kwa mawasiliana zaidi
2017 alikua anaitwa Benja na ana miaka34,.Mkuu tangu 2018 unatafuta Mke mpaka Leo hujapata tu, na hii miaka yako inaendaje 2018 ulikua na miaka 37 saivi 2025 una miaka 38 kwa maana hiyo miaka 7 kwako wewe ni mmoja? Aisee.... Kweli humu Kuna changamoto sana.
Msaidie kutafuta mke jamaa na akili itulie anahangaika toka 2017 mpaka leo hajapata mpaka na jina lake anaanza kusahau 😁😁2017 alikua anaitwa Benja na ana miaka34,.
Twende kaziView attachment 3361267
Nimecheka sana😅Unatumia Halotel