ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Nimemwambia nipo above 30 kanikimbiza hanitakichini ya 25 sio mbaya 😊, anaweza akakubali...
Nimemwambia nipo above 30 kanikimbiza hanitakichini ya 25 sio mbaya 😊, anaweza akakubali...
Wewe ulishaolewa?
Hamuwasiliani? Mtoto unae wewe?Alishaolewa Mwaka 2021
MChumba angu ataniua😎Foji Cheti Cha kuzaliwa, unafeli wapi? 😅
Nimemwambia nipo above 30 kanikimbiza hanitaki
Niombe msamaha😂Upo below?
Watoto mnafanya nini humu?
Hata akiwa na uzito sawa na gazeti....huwa tunawanenepesha kama broilaMbona hauja weka uzito mkuu ,
Una kg ngapi?? Wadada wa JF wengi wanapenda wanaume vibonge 🤒🤒
Kama above, basi.Niombe msamaha😂
Yaya sio???Single dad anatafuta hausgel wa kulea mwanae. All the Best
Sipo umri huo mkuuKama ni 31 basi njoo kwangu ephen...
Upo kwenye umri sahihi wa kupata mwandani...
Usijali mkuu😂Kama above, basi.
Kumradhi. Nilidhani katoto. Kumbe mzee mwenzangu.
Sipo umri huo mkuu
😂😂😂😂😂😂😂Hujasema kuhusu dini bobby..usije ukasumbua dada zetu aisee.
Yaani unahitaji mke mwenye dini yoyote?
......kwani hofu ya Mungu unayo!?.....Umri umeninyima mume😎
😂😂😂😂🙌🙌🙌 Nipo bega kwa bega na wewe..Umri wowote uliopo, sichagui kama mleta mada...as long as ni jinsia ke
Wewe unafuga ndevu kama mzee wa kiarabu, ushakosa sifa😂Umri wowote uliopo, sichagui kama mleta mada...as long as ni jinsia ke
😂😂😂😂Mbona hauja weka uzito mkuu ,
Una kg ngapi?? Wadada wa JF wengi wanapenda wanaume vibonge 🤒🤒