Natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25

Natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25

Definition na bona fide example umeshapata............Kamata fursa twende zetu..!!

hapana fursa za humu jf siku mbili wanakuja kufungua thread sitaki mwanaume ujikakamue unilee, unitunze ndo mpango mzima
 
Kila siku natafuta mwanaume/mwanamke wa kuishi naye halafu kimya
Hicho kimya kinamaanisha mmewapata ama bado
Muwe mnatoa mrejesho ili na sisi tulio singo tuhamasike au tupuuzie njia hii.
 
naomba unisaidie definition ya mwanaume nikamate fursa

Kuwa mwanamume sio kuwa na jinsia tu, bali pia kukamilisha majukumu yanayokupasa, sasa labda huyu jamaa yetu anaetafuta mukee anaejua maana ya mwanamume anaweza pia akawa na maana yake
 
Kuwa mwanamume sio kuwa na jinsia tu, bali pia kukamilisha majukumu yanayokupasa, sasa labda huyu jamaa yetu anaetafuta mukee anaejua maana ya mwanamume anaweza pia akawa na maana yake

mi nkajua ni kuvaa suruali na kuwa na ndevu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom