Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,636 Reaction score 140,149 Mar 8, 2025 Thread starter #21 Mpaji Mungu said: Nimekuelewa sana hapo uliposema awe na kitu ana-offer tofauti na uchi....unakuta mdada yupo 30's chenye anakupa ni uchi & stress Click to expand... ..and that is the main subject matter of my thread
Mpaji Mungu said: Nimekuelewa sana hapo uliposema awe na kitu ana-offer tofauti na uchi....unakuta mdada yupo 30's chenye anakupa ni uchi & stress Click to expand... ..and that is the main subject matter of my thread
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,436 Reaction score 14,925 Mar 8, 2025 #22 View: https://youtube.com/shorts/tfEdlxvgL0A?si=nL9M6JSPqc1234VY
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,573 Reaction score 56,617 Mar 8, 2025 #23 OKW BOBAN SUNZU said: ..and that is the main subject matter of my thread Click to expand... Tuliza akili mtani piga msako kimya kimya utampata unaeendana nae na mwenye vigezo unataka
OKW BOBAN SUNZU said: ..and that is the main subject matter of my thread Click to expand... Tuliza akili mtani piga msako kimya kimya utampata unaeendana nae na mwenye vigezo unataka
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 7,335 Reaction score 18,733 Mar 8, 2025 #24 OKW BOBAN SUNZU said: Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani Click to expand... Kumekuchaa π
OKW BOBAN SUNZU said: Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani Click to expand... Kumekuchaa π
Johnie2323 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2024 Posts 304 Reaction score 298 Mar 8, 2025 #25 Mhh unatafta mke hapa jf kweeeli... Utakuja ingia chakike ww... Nenda kijijini wazee wakutaftie kabinti kazuri kalikotulia uoe...walau utapata amani... Hawa wa mjini jf wataku...ma..li..za. Kila la heri mkuu.
Mhh unatafta mke hapa jf kweeeli... Utakuja ingia chakike ww... Nenda kijijini wazee wakutaftie kabinti kazuri kalikotulia uoe...walau utapata amani... Hawa wa mjini jf wataku...ma..li..za. Kila la heri mkuu.
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,788 Reaction score 51,554 Mar 9, 2025 #26 OKW BOBAN SUNZU said: Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani Click to expand... Chaee..
OKW BOBAN SUNZU said: Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani Click to expand... Chaee..
Gucci gang JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,718 Reaction score 5,350 Mar 11, 2025 #27 Mhasibu Weka proffesion yako kama mhasibu iwakusanye zaidiπ
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,311 Reaction score 49,342 Mar 11, 2025 #28 Carlos The Jackal said: Unaweza jiuliza ,mtoa mada kakoswa Mke ?. Wakuu ,ukitaka kuoa ndio utagundua Wanawake wa Kuoa, hamna. Click to expand... ππππ
Carlos The Jackal said: Unaweza jiuliza ,mtoa mada kakoswa Mke ?. Wakuu ,ukitaka kuoa ndio utagundua Wanawake wa Kuoa, hamna. Click to expand... ππππ