Mbonde khaimu
Member
- May 16, 2014
- 24
- 106
- Thread starter
-
- #21
Yoyote mwenye akili timamu ila akiwa bonge itapendeza zaidHata vigezo hujataja au yoyote tu wewe huchagui
Kila la kheri mkuuYoyote mwenye akili timamu ila akiwa bonge itapendeza zaid
Asante sanaaaMtafute huyu member hapa Mkuu. Tualikane arusi Lakiniπ
View attachment 3379764
Kijana una umri gani kwanza? πππNatafuta mke awe bi mdogo mke wa pili awe Dar. My no 0762405010
32Kijana una umri gani kwanza? πππ
π€π€Kila la kheri, mimi nili mpata mchumba humu.
Cc Joanah Pyongyang is loading π
Sasa Mke ndio anatafutwa kwa makelele hivyo?
Kwani uongo ehh? πππ€π€
Nipe odd 10 basi za uhakika bestie Bet Pawa nimkule Kanji ππππ€π€
Ni ukweli π€Kwani uongo ehh? ππ
Nipe odd 10 basi za uhakika bestie Bet Pawa nimkule Kanji πππ
Kweli hali mbaya mnooo bora hili ten nile mbuzi choma tu π€£π€£π€£Hakuna ishu huku bestie,tunza kibunda chako hadi mwezi wa nane
Sehemu gani wana mbuzi choma kali leo jioni nimwambie mtu anipeleke? πKweli hali mbaya mnooo bora hili ten nile mbuzi choma tu π€£π€£π€£
Mchuchu wangu acha kubeti bhanaHakuna ishu huku bestie,tunza kibunda chako hadi mwezi wa nane
Hili neno limenikumbusha mbali snaPyongyang
Wapi mkuu?Hili neno limenikumbusha mbali sna