Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Kufa mwenyewe ebu.
Hivi humu ndani kuna weu .utasema je hivyo we Perry ?? Huna akili kweli ?? We c mzima kabisa .we mwenyewe mzima wewe?? Umeshakwenda kupima Perry ?? Unalopoka tu kama ------- .umenikela sana.
Mr mleta mada kwa pole sana tena sana wala HIV cyo kifo .pili bado unaweza kuishi kwa matumaini .Sasa hv kuna vikundi vingi sana vya watu wenye hiv .unaweza kwenda kujiunga kule na ukapata watu wenye tatizo kama la kwako mkapeana mawazo na kusaidiana .na pia wapo wadada wazuri sana kule unaweza kupata mke kule . Pia humu jf kulikuwa na mama mmoja alikuwa anatafuta mume mwenye hiv .jaribu kuangali mada nyuma unaweza kupata contact zake huyo mama mkuu
Kufa mwenyewe ebu.
Hivi wewe Perry una akili timamu!!kweli sasa hivi JF imevamiwa na vichaa sio ile ninayoijua mimi.
nilaumu nikiwa mchafu usinilaumu ninapokuwa mgonjwaKufa mwenyewe ebu.
Kufa mwenyewe ebu.
He! ww ni Babu wa Loliondo au? au unataka kumpa dawa ya kupata mke?Pole sana, hayo ni majaribu tu, je mkeo alipima akakutwa -ve?, ni-PM dawa ninayo.
Kufa mwenyewe ebu.
I like you bwana,No i like your siginecha-Ni kwelikabisa.Una umri gani je mkeo hana na mlipata watt?