Natafuta mke mwenye ajiraa japo mi sina ajira.

Natafuta mke mwenye ajiraa japo mi sina ajira.

mkuu hawa wa uku wafilisi watakunyang'anya hadi suruali unayotembelea na kukuzidishia stresd! chamsingi ondoa wazo la kuwa kwavile huna ajira hutopata mtu la hasha! usiwaogope wadada ee watongoze katia 10 wapo 6 watakubeza na 3 watakukubalia ili wakupole hata huo mtaji ulionao na 1 ndie atakae ridhia hali uliyo nayo na ndio mkeo halali. kikubwa usiwatake wadada wenye pesa zao anza na level yako.
Ushauli wako mzuri kaka nimeupenda japo unaniogopesha tena.
 
Yaani pesa huna alafu bado unaweka mashariti ya umri hapa?? Km unataka kulelewa tafuta shuga mami, wanye umri huo unaotaja tuachie sisi wenye pesa zatu. Kuwa wazi km unataka mtu wa kukusaidia maisha au mke?
Ni kweli pesa sina ila siwezi kuoa mwanamke alie juu ya umri wangu ikishindikana kupata mke hapa anaekidhi vigezo ishindikane tu.
 
Wewe sema tu unatafuta Mwanamke wa kukuoa uwe Mario.!
Kaka punguza dharau mi mwenyewe sijapenda kukosa na starajii kuwa mario maana mungu kanikamilisha isipokuwa pesa tu na mke we kama una dada ana sifa hizo mpatie uzi huu kiaina utakuwa umenisaidia.
 
Back
Top Bottom