ambaye ni muislam
Akiwa tayari kubadili je?
we mwenyewe dini gani?
Mmmmmh kirahisi rahisi tu, baada ya mwaka mmoja tegemea mke mwenza ...........!:A S-heart-2:najipanga nitakupm
Umri wangu ni miaka 36 elimu yangu ni degree,kazi ni mhasibu serikalini.natafuta mke kabila lolote ambaye ni muislam mwenye elimu kuanzia form iv na ajira serikalini au kampuni.akiwa na mtoto mmoja sio mbaya.
Aliye tayari aweke nambake ntampigia
Na waislam wa TZ waolewe na nani?nenda Saudia au Iran
Hamna hiyo najiaminiMmmmmh kirahisi rahisi tu, baada ya mwaka mmoja tegemea mke mwenza ...........!:A S-heart-2:
Umri wangu ni miaka 36 elimu yangu ni degree,kazi ni mhasibu serikalini.natafuta mke kabila lolote ambaye ni muislam mwenye elimu kuanzia form iv na ajira serikalini au kampuni.akiwa na mtoto mmoja sio mbaya.
Aliye tayari aweke nambake ntampigia
Akiwa na mimba je?