Natafuta mke/Mkristo

Huyu ni ndugu yako? Upcoming artist namkubali sana

FM8x_baWQAUuPsb (1).jpeg
 
Ref;-Natafuta mke mkristo,

Ila akiwa msabato na awe anaishi dar es salaam itakuwa poa zaidi.

Awe mwalimu au nurse au kazi yoyote ya serikali,asiwe muhaya au mjita.

Awe na miaka 22-33 asiwe na mtoto,na asiwe aliolewa/asiwe kibonge sana akiwa mwembamba itakuwa poa sana.

Me naitwa johnson/30yr's nina mtoto1/sijawahi kuoa/nina diploma ya geomatics/nafanya kazi /msabato pure/urefu 5.7ft/chocolate color/sio mnene/sio mwembamba.

Kama upo serious nitafute johnsonMatinde@gmail.com
Mkuu kwa vigezo ulivyotoa, wasifu, naomba tu nitumie nafasi hii kusema kuwa wewe ubaki bachela tu, huwezi pata mke hapo, binti hawahawa wa kizazi cha 2000? Ungesema tu nataka mcha Mungu tabia tutazoeana kesho tu ungeweka jiko ndani.
 
😂😂😂🤣🤣🤣
 
Ref;-Natafuta mke mkristo,

Ila akiwa msabato na awe anaishi dar es salaam itakuwa poa zaidi.

Awe mwalimu au nurse au kazi yoyote ya serikali,asiwe muhaya au mjita.

Awe na miaka 22-33 asiwe na mtoto,na asiwe aliolewa/asiwe kibonge sana akiwa mwembamba itakuwa poa sana.

Me naitwa johnson/30yr's nina mtoto1/sijawahi kuoa/nina diploma ya geomatics/nafanya kazi /msabato pure/urefu 5.7ft/chocolate color/sio mnene/sio mwembamba.

Kama upo serious nitafute johnsonMatinde@gmail.com
Jisimamie kama mwanaume. Vaa pendeza, nenda ibadani utakutana na mabinti wazuri wanaofaa kuoa. Katongoze unayemtaka. Huo ndiyo uanaume. Siyo kubweteka na kutaka KUTAFUTWA.

Acha hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom