Natafuta mke/Mkristo

Ref;-Natafuta mke mkristo,

Ila akiwa msabato na awe anaishi dar es salaam itakuwa poa zaidi.

Awe mwalimu au nurse au kazi yoyote ya serikali,asiwe muhaya au mjita.

Awe na miaka 22-33 asiwe na mtoto,na asiwe aliolewa/asiwe kibonge sana akiwa mwembamba itakuwa poa sana.

Me naitwa johnson/30yr's/sijawahi kuoa/nina diploma ya geomatics/nafanya kazi /msabato pure/urefu 5.7ft/chocolate color/sio mnene/sio mwembamba.

Kama upo serious nitafute johnsonMatinde@gmail.com
Ujobless unanikosesha mume kwa mara nyingine tena 😥😥
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom