Natafuta mke maridadi

Haha kwanini? Nini kimepelekea kudraw hizo possibilities? 😂

Interesting !
 
Pool table zinakuwa bar/pub na maeneo ya masela hapo unatafuta barmaid na single mothers!!!

Demu kujua pool table awe kaishi geto na hakosi tattoo!!😀
 
dah kweli mkuu ina make sense, solution hapa ni kusubiri nifike hata miaka 36 hivi ili nimpate wa 29 anayejua vyote, wa kumfundisha sitaki nataka anayejua tuchanganye mitego watoto wazaliwe wakiwa mafundi
Miaka 29 asiye na mtoto!
 
Mkuu umekosea location.
Nenda bar utampata mtarajiwa wako.
Isipokuwa tu, kigezo kimoja cha kutokuwa na mtoto hapo ni mtihani.
Wanawake wa bar 99.99+ ni masingle mamaz.
 
JF!humu hamna kwanza wadada wa humu hawana hizo sifa kwanza kuna mmoja hapo anajeur sana ila ctamtaja na tena anadharau
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…