natafuta miwani za kuogelea

natafuta miwani za kuogelea

usijali nishapata ya kwangu kitu kipyaaaaaaaaaaa,ukiwa intersted na mimi naweza niikakuelekeza niliponunua ya kwangu ila sharti na wewe uninunulie,,,hihihihi

Even if u dont,nimenunua k/koo hyo hapo kwenye picha kwa just 5000 blv it o not.
 
umenikumbusha mambo mengi sana.
Mi huwa nikifika swimming pool kama sina hiyo makitu napiga mbizi kavukavu kwanza,nikizama mara tatu lazima niibuke na miwani huko chini ya maji na wala huwa siulizi imemvuka nani,naona naye kama ni mtaalamu wa maji atumie ujanja huo badala ya kufikiria kupoteza pesa...
 
ninazo kama tatu rangi blue na white nitoe na hela ya monde tuu 10 000
 
Kuna duka linaitwa kichui boutique. Liko tegeta kibo complex, first floor. Wana miwani na swimming costumes za watoto na watu wazima. Plus size kama za Madame B na Maxence Melo zipo pia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom