natafuta miwani za kuogelea

natafuta miwani za kuogelea

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,306
Reaction score
3,413
heshima kwenu wakuu,kama kuna mtu anazo anuza ziwe used au mpya please nomba kujuzwa,au japo nielekezwe zinapatikana maduka gani hata nikiambiwa na bei pia haitakuwa mbaya,thanks, in advance
 
Kama uko Dar nenda UDSM kule swimming pool huwa wanauza
 
tuma mpesa nikupe yakwangu.


Mi huwa nikifika swimming pool kama sina hiyo makitu napiga mbizi kavukavu kwanza,nikizama mara tatu lazima niibuke na miwani huko chini ya maji na wala huwa siulizi imemvuka nani,naona naye kama ni mtaalamu wa maji atumie ujanja huo badala ya kufikiria kupoteza pesa...
 
naomba nikupeleke zinapouzwa,sharti uninunulie namimi
 
Kama hiyo ama....
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1370114652797.jpg
    uploadfromtaptalk1370114652797.jpg
    30.5 KB · Views: 71
yaani k/koo mwisho wa matatizo nimeipata hiyo miwani niliyokuwa naitafuta kwa udi na uvumba,tena kwa bei ya kutupa
atakayekuwa interseted nitamuelekeza,mzigo huo hapo!!!
DSC_0041.jpg
 
kuazimana hapana magonjwa mengi siku hizi.
usijali nishapata ya kwangu kitu kipyaaaaaaaaaaa,ukiwa intersted na mimi naweza niikakuelekeza niliponunua ya kwangu ila sharti na wewe uninunulie,,,hihihihi
 
Back
Top Bottom