Salama wakuu,
Nafatua sehemu wanayouza mitungi ya shisha na fleva zake.
Nitafurahi ikiwa ntajua bei zake.
Nipo Dar es salaam mwenye kujua naomba anijuze nataka kwa ajili ya biashara.
Asante.
-Slipway, nenda kwenye shisha kiosk utapata hiyo makitu
-kama ni flavour peke yake hata shoppers plaza unaweza pata